prezdar charz
New Member
- Apr 11, 2014
- 4
- 1
Jaman mnazungumziaje mahusiano ya waheshimiwa wabunge kule bungen hayawezi kuharibu utendaji kazi!? mana mara fulan anatoka na nan mara mbunge kula bata na mbunge mwenzie nje tena wengne wanandoa naomba hoja zenu tafadhali sababu watu hadi hela za mafunzo nje ya nchi waliishia nyumba za wage!
Hahaha yaani umeandika title kujishushua, afu unaleta udaku! Hebu tupishe hapa
kuwa straight basi ili upate hizo hoja unazozitaka..Jaman mnazungumziaje mahusiano ya waheshimiwa wabunge kule bungen hayawezi kuharibu utendaji kazi!? mana mara fulan anatoka na nan mara mbunge kula bata na mbunge mwenzie nje tena wengne wanandoa naomba hoja zenu tafadhali sababu watu hadi hela za mafunzo nje ya nchi waliishia nyumba za wage!