Fanya uchaguzi sahihi sasa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,843
Pima faida na madhara yake kabla hujaamua... Hakuna kurudia
tapatalk_1566028267869.jpeg
tapatalk_jpeg_1565745387672.jpeg
 
Bahati mbaya sijagusa zote mbili. Ila fegy nimeuza sana pale Minaki @ Dabanga Camp. Wakati huo nanunua patiki Kisarawe kwa 90/- na nauza moja kila siku na kupata 120/-. 30/- kwa siku zilikuwa nyingi sana. Maisha yalikuwa Mswano!

Bazazi!
 
Hata watu waseme kitu gani. Chaguo sahihi
tapatalk_1566032570433.jpeg


Wapi kiberiti nikayatekenye mabetrii hapa akili ikae sawa
 

Attachments

  • tapatalk_1566032570433.jpeg
    tapatalk_1566032570433.jpeg
    20.3 KB · Views: 21

Similar Discussions

Back
Top Bottom