Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,848
- 58,559
- Thread starter
-
- #41
Mkuu ukishasema haya maneno kuna mwanga utafika usoni utasema unachotakaHapa nilipo nna majanga makubwa halafu tena unataka nifanye mambo nisiyokuwa na uelewa nayo ili nife kabisa au?
Ujue nakuheshimu sana mkuuDaaah mkuu tuwe seriously π³ π³ nyie ndo mnafanya nyuzi zangu niwe natoa elimu kwa pesa kule telegram
Neno ni YAVUZ YAKUZ..
HAYO YAKO SIO MKUU UNAKOSEA πππ
Nilipoona mabadiliko nikufanyeje?Nipp natoa elimu mkuu...
Maana evem ma genius wengi waliwaona mataaila ila hii kitu ni real jaribu kusema haya maneno mara 300 mkuu YAKUZ YAVUZ
Ngoja nicheke..Ujue nakuheshimu sana mkuu
Mtoa mada ni rafiki yangu mkubwa sana mkuu, sitaki kumkwaza.Sema jambo mkuu ili na sisi wngn tuone mambo yalivyo
Kwan umekuwajeπππJe unataka kufungua jicho la tatu
Useme chochote sasa unachotaka maana stage ya kwanza utaona kuna watu wanakunongoneza masikioni yaza satra puz metyra sanka puz wakimaanisha "" SAY SAY SAY YOU IS BOY SAY WHAT YOU WANT""Nilipoona mabadiliko nikufanyeje?
πππππ Kuna uzi niliona jamaa anakusifia kuwa una degree ya unafiki...Mtoa mada ni rafiki yangu mkubwa sana mkuu, sitaki kumkwaza.
Nimecheka usiku huu had nahis majirani wameshtukaπππNI wewe kama unataka pesa sasa tutaanza kufungua jicho la tatu kwa kuongeza maneno kama YUTRA SAKRA BATRA * 46
Daaah wee acha tuu.Kwan umekuwajeπππ
Usije jaribu hayo maneno plz ni roho za ajabuNimecheka usiku huu had nahis majirani wameshtukaπππ
Mwambie sihami majini yangu yamechagua hapa pawe kilinge πππDaaah wee acha tuu.
Ujue maza mwenye nyumba kanipandishia kodi ya frem ya biashara hapa i dont imekua gafla tuu aiseee
Siwezi aisee πUsije jaribu hayo maneno plz ni roho za ajabu
Na mi sihami kweli an leo nataka nikeshe na haya maneno mpaka kieleweke how came mtu anapandisha kodi hata sijajipanga huyu mama mchawi...Mwambie sihami majini yangu yamechagua hapa pawe kilinge πππ
Kuna watu wanataka pesa huku.... ππππππ EtSiwezi aisee π
Mara ghafla uone mama mwenye nyumba ndo anakuja ππNa mi sihami kweli an leo nataka nikeshe na haya maneno mpaka kieleweke how came mtu anapandisha kodi hata sijajipanga huyu mama mchawi...
Ngoja nijiandae kwanza mkuu.Useme chochote sasa unachotaka maana stage ya kwanza utaona kuna watu wanakunongoneza masikioni yaza satra puz metyra sanka puz wakimaanisha "" SAY SAY SAY YOU IS BOY SAY WHAT YOU WANT""
Ndio nipo macho sasa, hakuna chochoteJaribu mkuu ulete mrejesho leo