Fanya hivi usiku wa manane

Nilitaka kusema kitu fulani lakini nikaangalia ID nikatulia mkuu.
 
Kashakuja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mbaga ni miongoni mwa watu ambao inabidi uone maajabu na u wish unataka nini anza sasa kwa kunena haya maneno mara mia saba YAVUZ YAKUZI MATRA SUKA MASTRA
Hapa nilipo nna majanga makubwa halafu tena unataka nifanye mambo nisiyokuwa na uelewa nayo ili nife kabisa au?
 
Je kwenye kutamka nikakosea nikasema Mavuzi Mavuzi?
Daaah mkuu tuwe seriously 😳 😳 nyie ndo mnafanya nyuzi zangu niwe natoa elimu kwa pesa kule telegram

Neno ni YAVUZ YAKUZ..
HAYO YAKO SIO MKUU UNAKOSEA πŸ˜‚πŸ™πŸ™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…