Fanya hivi ukimpenda Demu mwenye marafiki wengi!

Kuna madem wengine unawaona sehemu i.e kwenye daladala, stand ya basi inabidi uamshe na yupo na rafiki zake hapo unafunguka direct akikataa unakua hauna regrets ila uliowasema wewe ni wale unaowaona kwenye mzunguko wako wa kila siku
 
hahaha mimi kupitia rafiki zangu hunipati utasikia huyu hakukubali wamejaribu mara nyingi sana(muda mwingi nashinda nao na mimi ndo ni mkimya kuliko wao)na wameshindwa
Nigee namba zao niwaulize kama kweli
 
hahaha mimi kupitia rafiki zangu hunipati utasikia huyu hakukubali wamejaribu mara nyingi sana(muda mwingi nashinda nao na mimi ndo ni mkimya kuliko wao)na wameshindwa
Tufanyeje sasa ili tukuweke ndani? Tutumie uchawi ulokuja na ndege
 
Sahihi kabisa, mioango ikianzia kwa marafiki za wanawake mambo huenda poa fasta
 
Mahusiano yangu ya kimapenzi ya sasa,yaliyopita ama yajayo hayakuwa/hayatakuwa influenced by rafiki yangu kwa namna yoyote ile

Nipo kwenye 0.5% iliyobaki

Ngoja nianze na kutafuta marafiki zako nitakunasa tu maana najua you are in the majority 99.5%
 
Ukimpenda Demu halafu ukakuta ana marafiki wawili ama watatu cha kufanya usimtongoze kwanza yeye!
Jifanye wewe ni gentleman kwa marafiki zake hata kama kiukweli sio maana marafiki zake wakikuona wewe ni mwanaume mwema hata ukija kumtongoza Demu uliyekusudia unakuwa umejihakikishia asilimia 98% za kukubaliwa.
Asilimia 99.5%ya wanawake duniani kukukataa ama kukubali inategemea na rafiki yake wa karibu atamshauri nini kukuhusu

N.B,kumtongoza mwanamke mwisho wiki moja ikizidi hapo ni maombi ya kazi
Hizi mbinu labda huna hela,cash ikiwepo hakuna haja ya kuzunguka,unaingia direct
 
Ukimpenda Demu halafu ukakuta ana marafiki wawili ama watatu cha kufanya usimtongoze kwanza yeye!
Jifanye wewe ni gentleman kwa marafiki zake hata kama kiukweli sio maana marafiki zake wakikuona wewe ni mwanaume mwema hata ukija kumtongoza Demu uliyekusudia unakuwa umejihakikishia asilimia 98% za kukubaliwa.
Asilimia 99.5%ya wanawake duniani kukukataa ama kukubali inategemea na rafiki yake wa karibu atamshauri nini kukuhusu

N.B,kumtongoza mwanamke mwisho wiki moja ikizidi hapo ni maombi ya kazi
Hahahaha,umemaliza vibaya
 
Hivi humu jf Kuna member wakiume ambaye hana mchuchu kweliii. Maana sio kwanondo tunazopeana humu Kuhusu hawa viumbe
 
Back
Top Bottom