Fanya hivi mapema

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ukitaka kusalimika mapema msimu huu wa sikukuu na mizinga ya hapa na pale fanya hivi!kama wewe ni member hapa Jf na ulizoea kwenda Pm za wadada wa hapa Jf badilisha ID kabisa,kama unatumia fb ukitumiwa sms hata ile ya Hi!usijibu kabisa potezea,ikiwezekana badilisha kabisa namba ya Simu kwa wiki hz mbili zilizobakia ili uepuke mizinga!usije ukaiona January ina siku 90
 
Dalili za kutojiamini hizi,.kwann ubadilishe namba ya simu au ID,kisaa??kukwepa vizinga??lol kwani ukikaa kimya itakuwaje!?tena hili ndio jibu LA maswali sugu "kaa kimya" baaaasi....mwerevu atajiongeza ila mpumbavu ataendelea kukusumbua.....halafu hii tabia bado IPO kwelii ya kupiga vizinga msimu wa sikukuu???maana naona wadada tunavyopambana kwa nguvu na majasho yetu kujipatia rizki zetu halali,sasa hao sijui wawapi labda wanafunzi wa vidudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…