itakiamo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,072
- 1,867
Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu