Fanya hili zoezi kwa afya ya sauti

Fanya hili zoezi kwa afya ya sauti

Jackmedia

Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
81
Reaction score
26
Its Funny!
Sio kila siku mziki, siasa, mapenzi. Sometimes mazoezi ya sauti yausike JF:

~Wote tuseme
"umekula maharage ya wapi" kwa sauti ya Gwajima.

~Wote tuseme
"hoooo" kwa sauti ya Rick Rossee pia.

~Wote tuseme
"ivo ivo" kwa sauti ya Erick.

~Wote tuseme
"ukiipenda sura yake kanywe nae chai" kwa sauti ya Mwalimu.

~Wote tuseme
"makamandaaa" kwa sauti ya Halima Mdee.

~Wote tuseme
"anakujaaaa" kwa sauti ya Dj Mac.

Twendeeeee
 
Back
Top Bottom