Mwanaume anayejitambua ndiye anayestahili kufanyiwa hayosa mumeo anaachaje kustahili mambo mazuri unataka kumfanyia nani??
Ongezea na ambao hawajasoma magoli kipa!Haya hufanywa mara nyingi na wanawake wafupi, shapeless wenye sura za baba zao
Kwani kufanana na baba dhambi?ukimwambia mkewako hicho ulichokiandika atafurahi kweli anakufanyia haafu unamwambia anafanana ma baba yake>?
Sidhani...na ndio maana nikasema haya atafanyiwa yule anayestahili.Unahisi mumeo atakuwa hajitambui??
Ongezea na ambao hawajasoma magoli kipa!
Japo na wazuri pia wanafanya
Mimi siwezi kumwambia labda wewe ndo ukanisemee.ukimwambia mkewako hicho ulichokiandika atafurahi kweli anakufanyia haafu unamwambia anafanana ma baba yake>?
AKE NIMUELEZEE KWA UPOLE MAANA KISHAONA BANDIKOMimi siwezi kumwambia labda wewe ndo ukanisemee.