Muda mwengine unaweza ukawa mbali sana kimaendeleo na bado wanaokuzunguka wakawa wanakwambia hujafanya kitu,
usijiskie vibaya yawezekana spidi yako ya kutafuta maendeleo ni kubwa kuliko uwezo wao wa kufahamu mambo.
maendeleo si tv kwamba lazima yaonekane bali ni hali ya kutoka chini kwenda juu yawezekana ikawa kifikra tu na ikabaki ni siri yako.
# Vaa viatu unavyopenda ili uchague mwendo unao utaka #