Fanuel Sedekia ni marehemu!

Mmh hivi hii taarifa inaweza kuwa ni kweli!?[emoji144] maana kuna mahali niliisikia ila siku-pay attention kwayo..
mke wake nilisikia kaolewa na muislam ?ni kweli au mwenye info atiririke
 
Kama alikua na msambwanda ni balaa, maana wanawake wenye misambwanda wanajiona sana
msambwanda upo kitu maji ya kunde na tabasamu fulani hivi la kichokozi huku macho yanaita

kiukweli shemeji analipa sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…