wangeyaleta haya Makatapila yaje bongo kutengeneza Barabar huko kwao hayana akazi yanatembea tu Mabarabarani. Ndoa nzuri nimeipenda.
Very nice one
Kitu cha mchina hapo
Hiyo harusi ni ya kweli kabisa (I heard about it before). Huyo bwana harusi alikuwa one of the directors wa Catappilar.
Kila mmoja anataka kutoka kivyake!!!!!!!!!!!!!
huyu jamaa atakuwa miner,kwa sababu naona kuna loader,mine truck,scoop,telehandler,jcb,backhole,jumbo,nk
Wamependeza sana!