FANTA WATOA 'VIMINI'

Hata walete soda ya aina gani sinywi hizo sumu
 
Hiyo soda ya hilo toleo haipo, hiyo ni chupa ya kawaida ila kaishika kwa namna fulani ukiangalia vidole vyake ndio maana inaonekana hivyo

Ila yote kwa yote soda sio nzuri kwa afya, tutumie maji kwa wingi
 
Hii Fanta ya ulaya wanapunguza sukari, Fanta ya bongo bwana upate kiepe na mishkaki pembeni
Ni kweli.

Hata Coke za Nje ni tofauti sana na Coke zetu za Nyumbani inapokuja kwenye Ladha.

Za Nyumbani utamu umezidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…