Fani zenye soko

Fani zenye soko

fellyjr

Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
53
Reaction score
21
Wana jf naombeni msaada ni fani zipi kwa sasa zipo kwenye soko znazotolewa vyuo vya ufundi hapa tanzania
 
Welding na ufundi ujenzi make kila siku watu wanaongezeka hivyo mahitaji ya kujenga nyumba za kisasa nayo yanaongezeka.
 
461b6c0c2d239a6f91fa156fa73fe8f8.jpg
 
Haya maisha bwana huwa hayaeleweki,Mungu Akiamua kukubonyezea button ya riziki unatoka popote,wapo wengine walikuwa mama ntilie wametoka,wapo walinzi walikesha usiku wakaamka ma boss,wapo mayatima hawakusoma hata darasa moja wanakula kuku tuwakafanikiwa,wapo waliokuwama ma prof wakaishia kupata mishahara mbuzi na wapo waliosoma certificate tuu wamefankiwa sana,kifupi ukipelelza fani gani ukisoma itakutoa,hutakaa upate jibu we kasome tuu unayojisikia huku UkiMuomba Mungu
 
Unataka level gani ya elimu gani? Shahada au stashahada? Au unataka Vocational training VETA?
 
Back
Top Bottom