Naamini fani ya utangazaji aidha kwenye television au redio una miiko na taratibu zake. Kwa mtazamo wangu au ufinyu wangu mdogo Wa kuelewa hii fani ninaona kinyume na taratibu ya fani husika. Baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini jinsi vinavyowapata na kuajiri watangazaji,Leo kwa vile MTU ni mzungumzaji sana mtaani kesho anakuwa mtangazaji au MTU akiwa maarufu anastahili kuwa mtangazaji
Hivi in haki kweli kwenye hii fani inayotaka uweledi na hamna chombo kinachosimamia hii fani?
Hivi in haki kweli kwenye hii fani inayotaka uweledi na hamna chombo kinachosimamia hii fani?