Fangasi ya ubongo inasababishwa na nini?

Fangasi ya ubongo inasababishwa na nini?

Fungus ni opportunistic pale ambapo kinga inashuka wanachukua nafasi ndio mana inatokea zaid kwa watu ambao ni immunocompromised kama +HiV kwa watu ambao hawana hii kwa fikra zangu unapata kutokana na infection dose kama ikiwa umeenda mazngira hatarishi ukakumbana nao wa kawaida ni rahisi kuwaovercome ila kama ni wengi ni rahisi kupata binafsi ni mara kadhaa niliwahi kupata oral fungal infection kwenye pita pita zangu mtaani
Asante kwa ufafanuzi
 
Ebu niambie pitapita Kama zipi, nisije na mimi nikapata buree
 
Kuna mtu nimewahi kumuuguza alikuwa anatundikiwa hivyo vidubwasha kama nane hivi ikabidi nigooggle kuona inatibu nini nikajua kama ulivyojua ila kama wadau walivyosema wenye maambukizi ya VVU wanapata changamoto hiyo, maana huyu mgonjwa alikuwa anafika hatua anakuwa kama anapata ukichaa kbs
Ni kweli kabisa, nami nimewahi kuuguza mgonjwa wa VVU dawa kubwa ilikuwa drip za hiyo dawa. Ila alichelewa kupata matibabu, akaanza tiba kwa kuchelewa na haikuchukua muda akafariki dunia.... 😭
 
Inasababishwa na magonjwa kama yale ya Ndugai pamoja na kunyonya nyonya manyuchi ya wazee, aaagh kinyaa sana mxiuuuu
 
Ni kweli kabisa, nami nimewahi kuuguza mgonjwa wa VVU dawa kubwa ilikuwa drip za hiyo dawa. Ila alichelewa kupata matibabu, akaanza tiba kwa kuchelewa na haikuchukua muda akafariki dunia.... [emoji24]
Pole sana mkuu, huyu naye ni Mungu tu maana alikuwa hajui kama anao au alipuuzia kutumia dawa tumehangaika sana mpk sasa amerecover vizuri
 
Wakuu habari

Naamini humu kuna madaktari na watu wenye uelewa juu ya afya ya binadamu wanaweza kunisaidia kujibu hili swali.

Nilikuwa nasoma kikaratasi cha dawa ya Fluconazole,katika maelezo ya magonjwa inayotibu mojawapo ni fangasi ya ubongo(Cryptococcocal meningitis-a fungal infection of the brain.

[emoji637]Je uambukizo wa fungus kwenye ubongo unasababishwa na nini na madhara yake ni yapi?

[emoji638]Fangasi ya mdomoni na kooni(Mucosal thrush) pia inasababishwa na nini?

Ahsante

View attachment 1746813
Cryptococcal meningitis is a type of meningitis caused by a fungus called Cryptococcus. This type ofmeningitis mainly affects people with weakened immune systems due to another illness.
If not treated,cryptococcal meningitis can have lasting consequences and can even be fatal.

So utaona magonjwa yanayoathiri sana mfumi wa kinga mwilini huweza kupelekea mtu kupata tatizo hilo. Mojawapo ya watu wanaopatwa na ugonjwa huu ni waathirika wa VVU.
 
Asante
 
OK na vipi kuhusu fangasi ya mdomoni?
fungus ya mdomoni ni kawaida inaweza kumpata mtu yoyote na hyo hasa hutokana na kutokuzingatia usafi au ulaji mbovu wa mhusika,ndo maana unaweza kuta mtu smart but ananuka mdomo basi hapo jua lishe yake mbovu.

au waweza mkuta mtu mchafu pia domo chafu hapo jua tu ni swala la uchafu.

mwsho ni kuwa makini zaidi na oral sex kwani huenda kuharibu mfumo mzma wa mdomo endapo utakuwa ni mfanyaji wa mara kwa mara na kwa mtu ambae ana infections
 
Aisee,asante kwa ufafanuzi mzuri,vipi kuhusu Uvinza kuna mtu hapo juu kasema alipata kutokana na kupiga deki?je mwanamke akiwa na fangasi ukeni hawezi kukuambukiza mdomoni na baadae zikahamia kwenye damu hadi kwenye ubongo?
 
Sawa,ni matibabu ya aina gani yanaweza kusababisha hio fangasi?

Kuna baadhi ya cancer kama vile cancer ya damu huwa zinahitaji chemo therapy kali na hii husababisha kinga ya mwili kushuka kwa kiasi kikubwa na hivyo kupelekea mtu kuwa kuwa kwenye hatari ya kupata fungus ya ubongo.

Anyways Fluconazole 200MG hutumika kwenye matibabu ya magonjwa nyemelezi kwa wagonjwa wa HIV zaidi kwa hapa kwetu Tanzania.

Kwa watumiaji wa kawaida hutumia Fluconazole 150MG .
 
Fangasi ni tatizo linalotegemea na kinga.

Kinga ikiwa imara hawana tatizo.

Kinga ishuka sasa [emoji116]

Hiyo CM.. Isikie tu, inawapata wengi wenye HIV stage 4 , na ukifikia hiyo hatua ,KUONDOKA NI 100%.

Na Hiyo Dawa ,ndio pekee inayotumika kutibu CM kwasababu ndio inayopenya BBB .

Well kuna dawa nyingine inayotumika inayoitwa Amphotericin B Hii ndio nzuri zaidi na kwa baadhi ya infections inatumika na flucytosine.
 
Kuna baadhi ya cancer kama vile cancer ya damu huwa zinahitaji chemo therapy kali na hii husababisha kinga ya mwili kushuka kwa kiasi kikubwa na hivyo kupelekea mtu kuwa kuwa kwenye hatari ya kupata fungus ya ubongo.

Anyways Fluconazole 200MG hutumika kwenye matibabu ya magonjwa nyemelezi kwa wagonjwa wa HIV zaidi kwa hapa kwetu Tanzania.

Kwa watumiaji wa kawaida hutumia Fluconazole 150MG .
Asante nimekupata
 
Mtu aliyekuwa immuno comprised atapewa Fluconazole 200MG kwasababu kinga yake haina uwezo mkubwa wa kupambana na infection .
Hapa nilimaanisha mtu anaambukizwaje fangasi ya mdomoni?
 
Hapa nilimaanisha mtu anaambukizwaje fangasi ya mdomoni?

Exposure inaweza kumfanya mtu apate infection husika.
Oral thrush au aina yoyote ile ya fungal yeast infection husababishwa na aina ya fungus ambao wanaishi mdomoni (Candida albicans) hawa wakizidi ndio mtu hupata infection .
Wanaweza vipi kuzidi (Over growth)?

Matumizi yasio sahihi ya antibiotics ambayo hupunguza uwiano wa bacteria na fungus.

Kushuka kwa kinga ya mwili kutokana na magonjwa au matibabu.

Lakini pia oral sex hapa hutokea displacement ya fungus mwanaume huweza kutoa wa mdomoni na kumpatia mwanamke kwenye uke wakati mwanamke atampatia mwanaume wale wa ukeni kwenda mdomoni so technically huwa inakuwa hivi .
 
Back
Top Bottom