Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,180
- 143,995
Nyani Ngabu utanisamehe lakini mimi nitakuita mzandiki. Una roho mbaya sana ya kwa nini??? Hivi unaniambia kwamba Fancy anaweza kujenga hoja zaidi ya Shayo? Bwana hachana na mambo ya roho mbaya kwa watu ambao unawaona wana upeo zaidi yako. Kha... Kwa mwendo huu hatufiki
mmesahau kuwa Nape alisemaje kuhusu wenye majina kama ya Shayo, tatizo la watanzania ni wepesi kusahauyaani vituko ni ndani ya CCM. Hivi inaingiaje akilini watu kama Le Baharia LeMutuz na Fancy Nkui waende mbele kwele hatua ya mwisho katika EALA wakati Dr. Shayo anatemwa?? Huyu binti ana nini, au lebaharia wana ujuzi gani kwenda kutetea Tanzania? Ndo maana ardhi yetu itanyakuliwa
Mazee wewe uko hapa tokea 2007 na hujawahi kusoma chochote kuhusu "DR." Shayo?
Huyo Shayo hayuko serious. Nilishangaa anaomba kura kutoka kwa wabunge wa CCM kupitia Michuzi Blog!!!yaani vituko ni ndani ya CCM. Hivi inaingiaje akilini watu kama Le Baharia LeMutuz na Fancy Nkui waende mbele kwele hatua ya mwisho katika EALA wakati Dr. Shayo anatemwa?? Huyu binti ana nini, au lebaharia wana ujuzi gani kwenda kutetea Tanzania? Ndo maana ardhi yetu itanyakuliwa
yaani vituko ni ndani ya CCM. Hivi inaingiaje akilini watu kama Le Baharia LeMutuz na Fancy Nkui waende mbele kwele hatua ya mwisho katika EALA wakati Dr. Shayo anatemwa?? Huyu binti ana nini, au lebaharia wana ujuzi gani kwenda kutetea Tanzania? Ndo maana ardhi yetu itanyakuliwa
Mazee wewe uko hapa tokea 2007 na hujawahi kusoma chochote kuhusu "DR." Shayo?
Mimi binafsi Fancy Nkhui namkubali ni binti ambaye ni makini tatizo siyo yeye tatizo chama chake cha magamba ila yuko vizuri ni mwanasheria nguri menejimenti yuko vizuri anaouwezo wakujisimamia mwenyewe na kuwasimamia wenzaki na kuisimamia hoja yake pia!!Kifupi she is good.
Femme Fatale!!!!!!!!!
Yaani William ni bora mara elfu moja kuliko huyo "Dr."Shayo.
I meant what i saidNyani Ngabu utanisamehe lakini mimi nitakuita mzandiki. Una roho mbaya sana ya kwa nini??? Hivi unaniambia kwamba Fancy anaweza kujenga hoja zaidi ya Shayo? Bwana hachana na mambo ya roho mbaya kwa watu ambao unawaona wana upeo zaidi yako. Kha... Kwa mwendo huu hatufiki