Fancing wire wapi zinapatikana kwa bei nzuri?

Fancing wire wapi zinapatikana kwa bei nzuri?

bulldoza

Senior Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
133
Reaction score
42
Habarini ndugu zangu? naomba mawazo yenu naamini wapo ambao wana uelewa mkubwa kuhusu wapi ntapata fancing wire kwa bundle na bei yake na heka moja inatumia kiasi cha bundle ngapi .nina kashamba kangu (mlandizi - pwani) nahitaji kuzungushia kwaajili ya usalama.
Tafadhali naomba michango kwa wadau.Naamini JF ni kila kitu,asanteni
 
mkuu fens waya zipo za 2mm na 2.5mm,pia zipo fake!uwe makini unaeza ingia chaka!unahitaji za mm ngapi?moja inakua na urefu wa mita 15!unataka ununulie huku dar then upeleke mlandiz,au unataka uzipate huko huko?nijuze nikupe bei mkuu.
 
Wire aina gani? Zipo Barbed wire,chainlink wire , hexagonal wire net .
 
Nenda KAMAKA,
Piga 2448781 kwa maulizo na walipo.
Ni mahali wanauza jumla na rejareja lipo mandela road, mbele ya tabata junction kuelekea ubungo.
 
Back
Top Bottom