Family out

Sasa mbona miti ipo kibao kurundikana kwenye mmoja wa juu kamba ikikatika si inakuwa ajali kubwa
 
hahahaha its impossible..... aisee usinidanganye
mmmh nikudanganye?!! bado hujui wala hujasikia hii mpya !! FYI, kuna vigogo na Viongozi wa juu huvaaga pempazi ktk vikaao vyao, ktk maonesho ya kitaifa/gwaride au ktk safari ndefu, safari za angani !!

Nikulete picha zipojee?!!!
 
Nikulete picha zipojee?!!![/QUOTE]

ebu niletee nione...ndo kwanza nasikia leo kwako jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…