100% UPO CORRECT!...na kwakweli mtu yoyote anayeamua kuangalia the majority situation atakuwa upande wako!niko na wewe mama.THANK YOUGeoff on my side I would like very much to turn around and go back to where we came from enzi za Family Marriages hasa kwa kuwa kwangu mie naona ndizo zilizokuwa na amani, utulivu, respect you name it- No one alikuwa anajifanya anajua kumzidi mwenzie kila mmoja alijua responsibilities zake kama mke au mume.
Zaidi ya hayo, maadili yalikuwepo kwani mume anaoa mke ambaye amepasishwa mtihani wa tabia na heshima, utulivu e.t.c lakini mume pia anakubaliwa kupewa binti kwa kuwa anafahamika vema tabia na utendaji wake kikazi. Respect inakuwepo kwa kuwa mtu unajua ukifanya upuuzi unakuwa unawaaibisha wazazi wako ambao wanawajibika kw awazazi wa mwenzi wako. Hii ilikuwa inaact kama displine mechanisms kwa wanandoa.
Lakini kwenye love marriage ni ugonjwa mtupu maana tumekwishakuwa brainwashed hadi hatuna tena cha asili. Tunakutana mtaani in the name of 'we love each other' tunakokotana hadi tunapofikia makubaliano ya kuoana ndipo wazazi wanapopata fursa ya kukutana na wazazi wa mkwe wao tena kukutana kwenyewe ni siku ya send off na arusi basi- no more attachment wala nini kiasi kwamba hata watoto wakigombana wazazi hawana mshikamano wowote sana sana kila mmoja anaona mwana wa mwenzie hakumfaa wa kwake! Na sisi tunapogombana/fanyiana uhuni hatuipati ile ladha ya 'ah wazazi wangu wataaibika kwa wazazi wa mwenzangu'
Westerners wametuambukiza ugonjwa mbaya sana unaoitwa haki za binadamu ambazo tumezitafsiri kwenda kuwa haki za mke v/s haki za mume! Mwanamke anajua haki zake (Including haki ya kucheat kama mumewe kacheat!!! ukorofi kama mumewe ni mkorofi!! yaani wenyewe wanasema anamwaga mboga kama mumewe kamwaga ugali ngoma droo yaani ubabe ubabe tu)
I would prefer to go back kule ambako you dont care kama mtu anakupenda au la (kupenda ya kizungu -ya sijui maua , card) all you care ni kuwa amekuchagua wewe uwe wake (kwa kigezo chochote kile) anakuheshimu na kukujali, anaelewa wajibu wake kama mume/mke na baba/mama wa familia. But kurudi kule a lot has to be changed ambayo si rahisi
I am really thinking about doing just that! si unajua hizi story za honemoon zimekuwa nyingi hapa recently hadi nafikiria kurewind lol!hahaha, huenda mwenzio alikuwa ana maanisha mafanikiwa kwa maana ya kwamba hawajagombana hadi sa ivi manake wengine huwa wanagombana huko huko?
By the way carmel wataka kurudi honeymoon ili uweze kuonja mafanikio?
Westerners wametuambukiza ugonjwa mbaya sana unaoitwa haki za binadamu ambazo tumezitafsiri kwenda kuwa haki za mke v/s haki za mume! Mwanamke anajua haki zake (Including haki ya kucheat kama mumewe kacheat!!! ukorofi kama mumewe ni mkorofi!! yaani wenyewe wanasema anamwaga mboga kama mumewe kamwaga ugali ngoma droo yaani ubabe ubabe tu)
mi simo we tangaza tu, watu watakaandalia mpango mzima ili waprove shaurilo we!Hahaha! Kale ka kwangu nilijichagulia mwenyewe.
By the time nimekolea sasa nataka nikakaintrodyuzi kwa wazee, Matesha alikuwa kwa tumbo tayari!
Then tukakamata baraka za wazee.
Afu Mwenyezi Mungu akaaprovu seleksheni yangu. Akagonga muhuri.
Tangu siku hiyo najilia vyangu kitakatifu!
Sijawahi kujuta. Akchuale huwa nashangaa kwanini nilichelewa kukaoa.
Ni kazuri na katamu kwelikweli! Kanajali na kunipenda mpaka najionea wivu!
hehehe!jeiesi unaogopa kuchaguliwa mume eeh?....
I am really thinking about doing just that! si unajua hizi story za honemoon zimekuwa nyingi hapa recently hadi nafikiria kurewind lol!
Ukiamua kusifia mtu,lolz!......πYou see! nilikuwa najiulizza umeenda wapi kumbe ndo ukiandaa vitu vya nguvu kama hivi
Hivi yale maandamano ya wanaharakati ni kesho ama leo? Ningependa baada ya kuandamana dhidi ya bunge, waaanda menhine juu ya issue kama hizi
Bravo MJ1 that was a nice piece (AGAIN)
Guys am back
Ukiamua kusifia mtu,lolz!......π
ha haaaaaaaaaa, chuda raha!Guys am back
JS kwa zamani haikuwa mbaya kiivyo na si wanasema hakuna mzazi amwombeaye mwanae mabaya? So ni wazi uchaguzi wao ungekuwa makini.Usifanye mchezo kuchaguliwa mume ati Geoff si jambo zuri kabisa
dah hutajwi mpwa? Nilikuwa nazungumzia authorities za watu hapa mara umaingia
welcome back!
....ukweli mtupu!wewe unaeleweka kuliko maelezo!nisaidie kumwelewesha kaizerπJS kwa zamani haikuwa mbaya kiivyo na si wanasema hakuna mzazi amwombeaye mwanae mabaya? So ni wazi uchaguzi wao ungekuwa makini.
Ila ndo kama nilivyosema ukiliangalia hili jambo katika context ya sasa si rahisi kwa sababu kuna mengi yameshatuharibu kiasi kwamba hata tukisema tuapply ya wazazi haita work.
Kumbuka pia unawezamchagua wako ambaye umempenda na mnapendana but kwa kuwa hakuna ile attachment ya wazazi iko siku anawezakukugeuka na ukabakia kutoa kilio cha ajabu- soma visa vyote vinavyotokea mara mume kajiservia tigo kwa nguvu, mume kaleta hawara nyumbani, mume kapiga mama mjamzito au mke kafumwa na houseboy, mke na kiserengeti, yaani ni mtafaruku tu na hao wote walichaguana kwa slogan ya 'we love each other'.
Usifanye mchezo kuchaguliwa mume ati Geoff si jambo zuri kabisa