mmmh, mara hii tu!I am Still thinking aloud in my honeymoon!...
Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!
Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)
2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!
my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...
(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwaπ)
Hapo sasa naanza kukuelewa!hehehe!karibu mzee mwenzangu..!tunazungumzia mila hapa
mmmh, mara hii tu!
mmmh, mara hii tu!
Hapo sasa naanza kukuelewa!
Naendelea na tafakuri!
Will be back soon!
nimeshangaa tu binamu, si unajua maana ya mafanikio makubwa ya honemoon? Kijana anatisha!heheheh, mbona umefikiria 'mbali' ivo carmel?π
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...
Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!
Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS:
1-FAMILY MARRIAGES-hizi ni kwamba kijana akishafikia umri wa kuoa anawasilisha hitaji lake kwa wazazi.ni jukumu la wazazi kuangalia ni familia gani ina binti mzuri wa tabia,na pia kuangalia historical backgrounds za hiyo familia.from there makubaliano yote hufanywa na wazazi wa pande mbili.Ndoa hizi ndizo asili NA MILA ZETU WAAFRIKA.ndoa hizi bado baadhi ya makabila wanazienzi na kuzidumisha.wakati wa ndoa hizi hakukuwa na mambo ya break-ups..!hizi ndoa siwezi kusema zilikuwa na mapenzi kwa maana ya mapenzi...!hizi ndoa zilikuwa na kitu kingine MORE THAN/APART FROM LOVE!...hizi ndoa wenzetu wahindi bado wanazienzi na kuzidumisha...!asilimia 90 ya hizi family marriages ni SUCCESSFUL!(kwa research yangu)
2-LOVE MARRIAGES-hizi ni western types za marriages.ni kwamba couples wanakutana/fahamiana mazingira yoyote yale,jf,kaunta,bar,shuleni,kazini n.k.huko wanaanza na MAPENZI,KUFANYA MAPENZI n.k.baada ya hapo wanaangalia kama wanaweza kuishi pamoja then wanafanya mikataba ya hiari....!hizi ndoa zinaonekana kuwa KASHESHE kinyume na mimi nilivyofikiria....!ndoa hizi zina mlolongo wa kuumizana,unseriousnesses,breakups and all that!asiilimia 60 ya LOVE MARRIAGES HAZIKO SUCCESSFUL!
my point:do we need LOVE MARRIAGES ANY FURTHER?...!of these types za ndoa,which is which?...
(honeymoon inaendelea tena ina mafanikio makubwaπ)
Hata mie nimeshangaa but hey He is a sharp shooter oh!! (Lafudhi ya Kinigeria hapo lol)
tujadili sredi jamani!naona mko interestedi na hanemuniπ
wewe nadhani hujanielewa kabisa ndugu yangu CHAKU!...naomba ukaisome sredi upya tena mwanzo mpaka mwisho then uje uchangieJamani Geof si umeoa juzi?tayari mara hii unaanza kuona yanayoanza kutokea kwenye ndoa yako?
Please nakusihi mpendwa wangu kama ulishafanya kosa naomba usijutie kabisa kwa kuaanza kuangalia ni ndooa gani nzuri kati ya hizo na kukuta wengi wanatoa koment ambazo huenda zikaanza kuharibu maamuzi yako.
Marriage is the strategic Decisions onces some made this decision ni finital na impact yake itakuathiri maisha yake yote.
Nilitegemea maada hii ianzishwe na mtu ambaye hajaoa si kwako wewe.
Samahani lakini ni maoni yangu tu
tujadili sredi jamani!naona mko interestedi na hanemuniπ
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!Hujatuambia ya kwako ni ipi? ili tuone kama unaelewa kwenye 60% au upo kwenye 90%LOL
By the way hebu tuwekee official abstract ya huo utafiti hapa tupate walau picha..π