Gen Z mkitoka siku hiyo, dunia itawaingiza kwenye rekodi kama wale wenzenu wa Nepal na Madagascar. It is simple like that. Na hivi wanavyo wadharau, nadhani kazi itakuwa ni rahisi sana kwenu.
Bahati nzuri mna back up ya kitosha sana. Kuna watu wanawasubiri tu muanze, ili waje wakamilishe kazi.