Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145

Wow!wameenda Sweden!
915648_1722714507986980_1209194810_n.jpg

YES THE CHIBUS ARE IN SWEDEN NA WALITOKA OUT I GUESS TO JUST TAKE A LOOK AND EXPERIENCE THE SNOW HUKO SWEDEN.

THEY ALL IN LAYERS OF CLOTHES SINCE KUNA BARIDI MNOOO
12599417_248905098785520_1147358374_n.jpg

HOW CUTE IS THE FAMILY THOUGH???
11373859_595695540584618_1016267244_n.jpg

MISS ZEE HUSKII BARIDI NA HIYO FISH NET/STOCKINGS AU KUFA NA FASHION

They seem like a happy family.

They look good.

Hopefully it's not a facade.

Their little munchkin doesn't seem to be bothered by the elements and I notice she doesn't have gloves on [in the last two photos].

That baby can easily get frostbite.

Both mommy and daddy need to get slapped upside their heads for failure to put gloves on those fragile little paws.

Shame on them.
 
Uyu ndo msani ambae baadhi ya vijana wa kibongo wanataka abakie apo apo alipo asipate mpinzani, ata akitokea na ata kama yupo ata popolewa na matusi uyo mpaka akome.

Hongera zake kwa kujituma na Ku prove wrong.

Ila Tz tutambue tu kuwa tunawaitaji hawa wengi zaidi.... So waliopo wapewe moyo.. Majungu ayajengi...
 
Unachosema ni kweli tunahitaji wasanii wa kiwango hiki wawe wengi,lakini si kwa mtindo wa kumponda/kumkejeri/kumtukana huyu aliopo eti ili huyo mpya mpande si kiivo. Tunawataka wapande kwa uwezo wa kazi zao na si kwa kumchukia huyu aliopo kwa hilo mimi mmoja wapo sitakubali hilo kutokea.
 
Uyu ndo msani ambae baadhi ya vijana wa kibongo wanataka abakie apo apo alipo asipate mpinzani, ata akitokea na ata kama yupo ata popolewa na matusi uyo mpaka akome.

Hongera zake kwa kujituma na Ku prove wrong.

Ila Tz tutambue tu kuwa tunawaitaji hawa wengi zaidi.... So waliopo wapewe moyo.. Majungu ayajengi...
Wewe umeongea but wapo wanaojaribu kufanya kinyume Na uliyosema. Tena wewe umeongea Tu Wao wanafanya kwa vitendo kinyume chake, watashindwa vibaya!
 
Watachomwa mbinguni,yaani huyo bibi ametelekeza familia yake kabisa,unadhani wale watoto wengine wakiona hayo hawatamani jamani,ilitakiwa nao wakaenjoy huko.
 
They seem like a happy family.

They look good.

Hopefully it's not a facade.

Their little munchkin doesn't seem to be bothered by the elements and I notice she doesn't have gloves on [in the last two photos].

That baby can easily get frostbite.

Both mommy and daddy need to get slapped upside their heads for failure to put gloves on those fragile little paws.

Shame on them.
thats light snow and maybe it just drop for 1 hour and melt,temperature can be almost +9c.
 
Back
Top Bottom