Familiya ya kitajiri

Familiya ya kitajiri

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
434
Reaction score
112
Habar wana JF,ninaimani mtakuwa wazima wa Afya njema.

Kuna jambo huwa linanitatiza,
Inakuje baadhi familiya nyingi za kitajiri linapokuja suala la uzazi huwa linakuwa gumu kwa pande zote mbili,tofauti na walala hoi tatizo hilo halisumbu?
Karibun tuchangie ndugu zangu.
 
Habar wana JF,ninaimani mtakuwa wazima wa Afya njema.

Kuna jambo huwa linanitatiza,
Inakuje baadhi familiya nyingi kitajiri linapokuja suala la uzazi huwa linakuwa gumu kwa pande zote mbili,tofauti na walala hoi tatizo hilo halisumbu?
Karibun tuchangie ndugu zangu.

Ujaeleweka unaamisha matajiri ni wagumu kutoa kizazi au kuangalia afya ya kizazi au upasuaji wa kizazi au vip?
 
Mkuu mleta mada mara nyingi inakuwa hivyo, hebu tusubiri michango zaidi
 
Ujaeleweka unaamisha matajiri ni wagumu kutoa kizazi au kuangalia afya ya kizazi au upasuaji wa kizazi au vip?
Inaoneka watu wenye uwezo wengi wao,nahisi ni wagumba,na ndo wanaongoza kwenda kwa waganga.
 
Majaaliwa ya mwenyezi hayo! Watoto wa masaki wataendelea kufuga mbwa tu! Wa kweli kwetu ukichomeka tu, kitu! Usiombe ukawa mchepukaji. hukimbii mwanao maana kitu fotocopy
 
umefanya utafiti wapi?, au sababu matajiri ni famous ndio kila shida ikiwatokea unafahamu kuliko masikini tele wenye shida hizi lakini wewe huwafahamu.

By the way asilimia kubwa ni masikini kuliko matajiri.., kwahio logic inaniambia kila tatizo / occurance ambayo haitegemei pesa basi masikini watakuwa nayo wengi kuliko matajiri
 
Hii inaweza kuwa kweli kwa sababu wengi wao hawali vilivyo natural! kwao chemically processed food ndo kawcida yao kumbe wanaathiri miili yao pasipo kujua. Pia kuendekeza supporting mechanisms hata pasipo na ulazima ni tatizo jingine. I.e vyoo vya kukaa badala ya kuchutama, kulazimisha kupanda gari hata kwenye sehemu zenye umbali mfupi etc
Ni muda muafaka sasa wa wao kubadilika.
 
Pia smts hii inaweza kuchangiwa na ukiukwaji wa miiko ya asili zetu mathalani kwa sisi watanzania mtu tajiri unakuta hapeleki watoto wake kijiji kusalimia na hata kusafishia makaburi ya wahenga. Hii husababisha hasira kwa wahenga na hatimae kutoa laana za kimyakimya kwa familia husika.
 
Sio wa kiafrika,matajiri wanapiga mbupu sana na wana watoto wa kukinga au unawazungumzua matajiri wa kibongo wenye vyumba viwili na gari ndogo?
 
matajiri gani unaozungumzia, kwetu tajiri ni mwenye watoto wengi japo watano kwa kuanzia....
 
Mi nafikiri watu ukiwa idle yaani haupo busy huwa kuna kazi tatu kufanya mapenzi bila mpangilio we ukipata hamu tu hapohapo (hapo ndo wengine hujikuta mimba inatokea chunguza mimba nyingi za huku kwetu hutokea as an accident kwamba dhumuni ilikuwa kufurahishana na si kupata mtoto ila ndo imetokea). Pili ni majungu na fitina watu wasio na kazi na haswa maskini wanajua watu wote mtaani sio maskini/au wenye kipato cha chini wote wako hivi ila wengi wao. Tatu. Maskini chakula kinaweza watoa roho swala la kula wao its a big deal. Kwa upande wa matajiri Moja. Wanafanya kazi sana na kuwa na mapumziko madogo sana jambo linaloweza pelekea uchovu na kutokuwa na hamu ya kimapenzi kwa mwenza wake na sii kwamba ni wagumba au Tasa ila mwili unachoka tukumbuke lile tendo bila mwili kuwa active na wenye nguvu huwezi fanya chochote. Utajiri usikie tu kwa mwenzio na ndo maana wako wachache duniani kote. Wana take risky kubwa sana saa nyingine hata maisha yao kuamka kwao ni Alfajiri kulala kwao ni usiku wa manane huo muda wa kuzaa anautoa wapi? Matajiri wengi wana hesabu kali sana pamoja na kuwa na pesa hawapendi kuwa na mzigo mkubwa wa kulea unaoweza pelekea kushuka kwa utajiri na ufanisi katika shughuli zao. Suala la Nguvu zao za kimapenzi kuwa ndogo inawezekana kabisa ikawa inasababishwa na ulaji hovyo. Hawalii kabisa though they are billionaires vyakula vyao cake mikate just take away na mi chips hapo utazaa watoto 8 kwa mtonyo upi?
 
mleta mada uzi wako kama unazungumzia ugumba hapo hakuna tajiri wala maskini lakini kama ni idadi ya watoto maskini wanazaa sana kwa vile wanawaza chini muda wote wakati tajiri yeye ana maintain status yake so atazaa kwa mpango watoto 2 wamezidi 3 muda mwingi anawaza mkwanja.
 
Mungu hakupi kila kitu!akupeutajiri na watoto pia?Kama watoto utakuwa nao "kichwani" huwa hakuna "kitu".Ndio wanaokuja kusambaratisha utajiri
 
Alafu hata wakibahatika kupata mtoto,anakuwa zezeta mda mwingine.
 
wanakuwa busy na kazi pia wanataka kuwajengea waweze kujitegemea baaadae na wawe na msingi mzuri
 
Back
Top Bottom