nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,920
- 2,529
hahahaah tushapotea sisi usijihangaishe kutuelekeza njia
hahahaah tushapotea sisi usijihangaishe kutuelekeza njia
JF EXPERT!!!HAHAAAAAAUmeshaoa kwanza?
Namaanisha unayo familia?
Kama hauna, ulichoweka hapa ni pumba tupu.
Zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nikiamini wanaokuwa na watoto nje wanafanya makusudi;baada ya kunikuta nikagundua ili usizae nje inabidi uwe na tatizo la nguvu za kiume ili uweze kutulia na mwanamke mmoja.
ha ha ha ha kunaweza kuwa na ukweli au isiwe kweliKwaiyo unajaribu kutuaminisha kwamba wasiokuwa na watoto wa nje wanatatizo la nguvu za kiume mkuu
Cc Kingsmann
ha ha ha ha kunaweza kuwa na ukweli au isiwe kweli
ha ha ha kama atakuwa na hizo nguvu basi mwenzake huwa anavumiliaMe naona si kweli mkuu