Familia yateketea kwa ajali Msata

Familia yateketea kwa ajali Msata

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,505
Reaction score
15,123
Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki DSM walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mr. Kaggi huko Raskazone Tanga. Wakati wanarudi walipata ajali, alipona mke wa Mr. Kaggi na msichana wa kazi. RIP

---------------
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisutu Dar es Salaam, Sophia Makange akisaidiwa kuingia kwenye Kanisa la KKKT Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwenye ibada ya kuaga miili ya wapendwa wake watano waliopoteza maisha katika ajali ya gari. Katika ajali hiyo Sophia alimpoteza mumewe, Francis Kaggi, watoto wake Janemary Kaggi, Elineema Kaggi, Maria Kaggi na Joshua Kaggi waliokuwa wakitoka Tanga kurejea jijini Dar es Salaam




Chanzo: Mwananchi_official
 
Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki Dsm walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa mr. Kaggi huko Raskazone Tanga.Wakati wanarudi walipata ajali .Alipona mke wa mr.Kaggi na msichana wa kazi.RIp
Ndo kina nani huko Dar es Salaam mkuu?


Anyways poleni kwa msiba
 
Ni Malaika tu wanatulinda huko njiani ....poleni Wana familia
 
Hapo vikao vishakaliwa upande wa ndugu wa mume kujadili mustakabali wa mali mixer lawama kibao za kishirikina kwenda kwa mke.
 
Huyo mama ni Tcha sisemi kwa ubaya ila maticha wengi wana roho za mkasi....huyo mama aangalie miaka ya nyuma kama kuna mwanafunzi alimwonea itakuwa ni karma.
 
Huyo mama ni Tcha sisemi kwa ubaya ila maticha wengi wana roho za mkasi....huyo mama aangalie miaka ya nyuma kama kuna mwanafunzi alimwonea itakuwa ni karma.
ww ni mpumbavu aisee kwaiyo karma ije kwa watoto na mume ..............

( wasio na hatia na ambao hawakushiriki kosa la uyo mama )??

Na unauhakika gani kama alionea???

ama kwel ubinadamu kazi
 
Back
Top Bottom