Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Mke amebeba mtoto wa kiume mimi nimebeba mtoto wa kike kazi ipo hapo jamani..............
naona zipu iko wazi au imetanuka?
Ndio maana huwa namuuliza huyu MziziMkavu ana miaka mingapi?
Ndio nini kuchukuwa picha za wenzako kuja kuzibandika JF na kujidai kuwa ni "familia: yako?
Hiyo picha ipo mtandaoni siku nyingi na imewekwa kwenye board na mtu ajiitae Lebrn Arda, fata hii link: Black Men White Women = Love | via Tumblr | We Heart It
Maana yake nini mkuu?La familiaa
Pole sana mkuu!nice family.u make me 2 cry .i miss my 0,5 children and their white mama .
Je wewe ni jinsi gani?Kumbe wewe n wa kiume!
Vitoto vinajifunza kupenda!watoto nao wanaangalia tendo kwa umakini sana, hasa hako kakike