Familia Yakosolewa

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,799
Reaction score
22,771


Familia ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad.

Mama yake mzazi, Qu Quan amesema kuwa wao walifanya kwa utani na walikuwa wakicheka sana kumuona mtoto akijaribu kuamka kutoka kwenye bakuli hilo huku akishindwa na kuendelea kulia na kisha wakamtoa.
CHANZO
​
 
Wangemla kweli hao
Hata hivyo, sio wote waliowakosoa seriously, wengine walitania "Chinese people are capable of anything. The baby could be one of the menu."
 
Asante sana mwl RCT kwa maadili yako ya kuigwa ya kuweka chanzo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…