Familia ya Ndesamburo yakanusha kuwepo Mgororo wa Rambirambi na CHADEMA

Mods muadhibuni Lizaboni anashusha hadhi ya JF kwa kuleta habari za uzushi mara kwa mara, apewe life ban iwe fundisho kwa wahuni wengine
 
Mim nadhani mnaweka ushahidi wa barua iliyosainiwa na mmoja wa wanafamilia kumbe mnaleta maneno matupu
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuwajibu hizo ni propaganda za green guards, wananchi tunawafahamu hao Jamaa kwa uongo
Lucy Owenya amesanda kwa Mbowe. Alete za kuleta 2020 Hakuna cha viti maalum na hivi Ndesamburo hayupo tena
 
MOD's UMNATAKIWA KUMPA BAN HUYU JAMAA (LIZABON) KWA KUWA IMEZIDISHA KIWANGO SASA CHA KULETA HABARI ZA UWONGO/UZUSHI KAMA HIZI HUSUSANI KUHUSISHA WATU MAARUFU NA VIONGOZI WALIOJIWEKEA HESHIMA HAPA NCHINI


HUYU PUNGUWANI NI MCHONGANISHI NA HASTAHILI KUVUMILIWA HATA KIDOGO

TAFADHALI MOD's MPENI ANACHOSTAHILI BAN HATA YA MILELE SABABU HANA FAIDA YOYOTE NCHINI NA DUNIANI.
 
Fedha za rambirambi Tanzania hazijawahi kumwacha mtu salama
 
MODS, Nina unga mkono kwamba @lizabon apigwe ban au aweke uzi wa kuomba radhi walioathirika kwa uzushi wake!

Inawezekana kwao suala la kula rambirambi za Marehemu ni la kawaida sana, na hivyo anaona alete dhihaka zao kwa wengine!
 
Back
Top Bottom