Leo niliona nyumba ya familia moja inayofahamika ina uhusiano wa karibu na mwandishi wa huko Dar ndugu Kubenea ikiwa imegongwa na gari na kuharibika huku watu kadhaa wakiwa ndani ya nyumba hiyo.
nyumba hiyo iliopo mitaa ya daraja Bovu nje kidogo ya Unguja iligongwa na gari liloendeshwa na dereva akiwa amelewa Chakari na kusababisha mshindo mkubwa na kuwafanya watu kadhaa kukusanyika karibu na nyumba hiyo.
Gari hilo ambalo limepelekwa kituo cha Malindi kwa uchunguzi linadaiwa kuendeshwa na mmoja ndugu wa karibu na kigogo wa serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna hisia kadhaa kamba Polisi wanataka kuliendesha swala hilo kienyeji na kunyima kutenda haki.
Najiandaa kufuatilia tukio hilo kwa karibu. nachukua kamera kwenda Kituo cha malindi kutafuta undani wa swala hilo
sidhani kama litakuwa la kisiasaHata wawagonge wote na magari haki itasimama tu hata siku ya hukumu-Endelea kutuhabarisha tulioko Mrima
Leo niliona nyumba ya familia moja inayofahamika ina uhusiano wa karibu na mwandishi wa huko Dar ndugu Kubenea ikiwa imegongwa na gari na kuharibika huku watu kadhaa wakiwa ndani ya nyumba hiyo.
nyumba hiyo iliopo mitaa ya daraja Bovu nje kidogo ya Unguja iligongwa na gari liloendeshwa na dereva akiwa amelewa Chakari na kusababisha mshindo mkubwa na kuwafanya watu kadhaa kukusanyika karibu na nyumba hiyo.
Gari hilo ambalo limepelekwa kituo cha Malindi kwa uchunguzi linadaiwa kuendeshwa na mmoja ndugu wa karibu na kigogo wa serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kuna hisia kadhaa kamba Polisi wanataka kuliendesha swala hilo kienyeji na kunyima kutenda haki.
Najiandaa kufuatilia tukio hilo kwa karibu. nachukua kamera kwenda Kituo cha malindi kutafuta undani wa swala hilo
Ngoja nitafakari kidogo na kuchanganua mnyumbuliko huu!
- Familia ya kubenea chupuchupu!
- Nyumba kugongwa na gari (dereva akiwa mlevi)
- Dereva ndugu wa karibu wa kigogo!
- Kubenea ilikua aje Zanzbar!