Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
.......................?
View attachment 53667
ni kweli wana pesa si haba na watu wote ambao wako kwenye biashara zilezile wanazozifanya kwa miaka mingi hawaja shine kihivyo. Na hapo ndipo maswali yanaibukaHii nchi mfanyabiashara anaweza kujitamkia lolote tu hata kama hakuna ukweli, lengo ni kuwatishia wasimamizi wa sheria kwa jinala Rais.
Inawezekana walishatoa mchango katika dhifa mbalimbali basi umekuwa nongwa/. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra matajiri wakuja hawa watatunyanyasa na kutuibia sana kwa kutumia majina ya wakubwa. Kwa kuanzia waliotishiwa wanatakiwa kufungua kesi dhidi ya hiyo kampuni ili ukweli ujulikane, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari, haitasaidia. Please tuanze kuchukua hatua sasa dhidi ya wanyanganyi hawa.
Hii nchi mfanyabiashara anaweza kujitamkia lolote tu hata kama hakuna ukweli, lengo ni kuwatishia wasimamizi wa sheria kwa jinala Rais.
Inawezekana walishatoa mchango katika dhifa mbalimbali basi umekuwa nongwa/. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra matajiri wakuja hawa watatunyanyasa na kutuibia sana kwa kutumia majina ya wakubwa. Kwa kuanzia waliotishiwa wanatakiwa kufungua kesi dhidi ya hiyo kampuni ili ukweli ujulikane, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari, haitasaidia. Please tuanze kuchukua hatua sasa dhidi ya wanyanganyi hawa.
au walioiba wale twiga?hawa ndio walinunua suti ?
Hivi kumbe linatisha eeh?
Mi nilijua ni jina la Yesu tu ndio linatisha. Sasa mbona mawaziri hawaliogopi?
mimi huwa nasoma gazeti la dira kila alh na jumatatu,ila leo sikulipata,ww umelipata wapi?ktk eneo ninapofanyia kazi wauzaji wako kama tano na wote wanasema leo hawakulipata