Familia ya Kikwete yachafuliwa: Yadaiwa kufanya biashara na waarabu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
.......................?
114.jpg
 
Hii nchi mfanyabiashara anaweza kujitamkia lolote tu hata kama hakuna ukweli, lengo ni kuwatishia wasimamizi wa sheria kwa jinala Rais.

Inawezekana walishatoa mchango katika dhifa mbalimbali basi umekuwa nongwa/. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra matajiri wakuja hawa watatunyanyasa na kutuibia sana kwa kutumia majina ya wakubwa. Kwa kuanzia waliotishiwa wanatakiwa kufungua kesi dhidi ya hiyo kampuni ili ukweli ujulikane, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari, haitasaidia. Please tuanze kuchukua hatua sasa dhidi ya wanyanganyi hawa.
 
Hii familia ya kikwete wala kikwete haiwezi kuchafuliwa bali ni ukweli kwani tushaizoea kwa ufisadi.
Joshua Nassary alisema kweli kwamba kikwete asikatishe Arusha kwani hafai, Nami natangaza kuwa kikwete asikatize Tabora kwani yy na chama chake hawajafanya chochote Tbr licha ya kupewa kuraz zaidi ya 70% kwenye uchanguzi 2010.

Shardcole@Tabora1
 
Hii nchi mfanyabiashara anaweza kujitamkia lolote tu hata kama hakuna ukweli, lengo ni kuwatishia wasimamizi wa sheria kwa jinala Rais.

Inawezekana walishatoa mchango katika dhifa mbalimbali basi umekuwa nongwa/. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra matajiri wakuja hawa watatunyanyasa na kutuibia sana kwa kutumia majina ya wakubwa. Kwa kuanzia waliotishiwa wanatakiwa kufungua kesi dhidi ya hiyo kampuni ili ukweli ujulikane, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari, haitasaidia. Please tuanze kuchukua hatua sasa dhidi ya wanyanganyi hawa.
ni kweli wana pesa si haba na watu wote ambao wako kwenye biashara zilezile wanazozifanya kwa miaka mingi hawaja shine kihivyo. Na hapo ndipo maswali yanaibuka

Na inasemekana walitoa 800m kwenye project ya shule ya Mabwe Pande

Hii nchi mfanyabiashara anaweza kujitamkia lolote tu hata kama hakuna ukweli, lengo ni kuwatishia wasimamizi wa sheria kwa jinala Rais.

Inawezekana walishatoa mchango katika dhifa mbalimbali basi umekuwa nongwa/. Watanzania tunahitaji kubadilika kifikra matajiri wakuja hawa watatunyanyasa na kutuibia sana kwa kutumia majina ya wakubwa. Kwa kuanzia waliotishiwa wanatakiwa kufungua kesi dhidi ya hiyo kampuni ili ukweli ujulikane, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari, haitasaidia. Please tuanze kuchukua hatua sasa dhidi ya wanyanganyi hawa.

Hivi kumbe linatisha eeh?

Mi nilijua ni jina la Yesu tu ndio linatisha. Sasa mbona mawaziri hawaliogopi?
 
Imechafuliwa vipi?

Na usafi ulikuwa wa kiasi gani?

hebu watuambie wameichafua kwa upande upi haswa.
 
mimi huwa nasoma gazeti la dira kila alh na jumatatu,ila leo sikulipata,ww umelipata wapi?ktk eneo ninapofanyia kazi wauzaji wako kama tano na wote wanasema leo hawakulipata
 
Kwani inahitaji kufachafuka mara ngapi? Familia hii haisafishiki hata kwa kutumia maji taka!!!
 
Kanchi haka kila Rais na ufisadi wake,siku wenyenchi tukidai chetu..shauri yao,msimu wa mvua huisha hata kama ni za mafuriko,kiangazi chaja!
 
mimi huwa nasoma gazeti la dira kila alh na jumatatu,ila leo sikulipata,ww umelipata wapi?ktk eneo ninapofanyia kazi wauzaji wako kama tano na wote wanasema leo hawakulipata

watakuwa wamelinunua kwa wingi ili lisisambae sana
 
Back
Top Bottom