Mko wangapi mkuu?Tutawepelekea hizi rambirambi kwa lazima na nguvu.
Nyie kwani bado mnalipwa buku saba?Hela yenyewe huna halafu unajidai eti unataka kutoa rambirambi. Unafiki mtupu.
Aisee hebu onyesha hayo "maelfu", acha kulonga longa hovyo hapa.Nyie kwani bado mnalipwa buku saba?
Tofauti na rambirambi mimi pia nina mkono wao wa pongezi kwa kutuletea shujaa.
Sema na yeye angefikisha ata 10 basi watatu wachache sana lakini sina budi kumshukuru hata kwa hichi kidogo.
Hongera kwa ulichowezeshwaTofauti na rambirambi mimi pia nina mkono wao wa pongezi kwa kutuletea shujaa.
Sema na yeye angefikisha ata 10 basi watatu wachache sana lakini sina budi kumshukuru hata kwa hichi kidogo.
toka jaamaa afariki naona umeku mzee wakudandia mada tofauti na enzi zile za mwendazakeHela yenyewe huna halafu unajidai eti unataka kutoa rambirambi. Unafiki mtupu.
Yani maghayo akose hela?tena tu hela mbuzi ya rambirambi.Hela yenyewe huna halafu unajidai eti unataka kutoa rambirambi. Unafiki mtupu.