Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

Uwongo ukiachwa bila kudhibitishwa, unakuwa ukweli...!
Gen. Davis Mwamuyange atoke hadharani, mchana kweupe, tumwone, yote haya YATAKOMA...!
 
Familia inasema jamani chadema fanyeni mambo yenu.iacheni familia yao.mkuu wa majeshi yupo salama salmini nje ya nchi.

Leo ndio nimehakikisha kwamba, kumbe CHADEMA ni mwiba kwa FISI-SISIEMU! Kila kitu chenye ubaya nchi hii kimeanzishwa na CHADEMA.
 
Ujumbe wa fb ktk simu ya mchina ya kijana wa gheto unaisumbua wenye akili na wadanganyika.
Ukweli ni ukweli na uongo ni uongo tu. We unadhani uongo hata ukirushwa kupitia iPhone 7 utabadilika kuwa ukweli? Acha watu wahangaike nao, muda ukijiri ukweli utajulikana tu.
 
Kwanini mwamunyange hatokei na kukiri mbele ya media, kuwa Yuko hai
 
haya mambo ya mtandaoni inatakiwa kuchuna tu hamna kujihusisha,wataongea mpaka vidole vipasuke,,,,hiyo family isirudie tena kujibishana na wanywa viroba,ni kupoteza mda
 
Hivi wewe unayeipangia familia ya mkuu wa majeshi mtu wa kutoa taarifa za kifamilia wewe ni nani? Pelekeni bangi zenu huko.pumbavu
Ameshakuwa Mkuu wa majeshi sio mkuu wa familia, anatuhusu wote huyu, kwa nini familia inambinafsisha!?
 
Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.


Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.

Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange.

ITV

Hata wale mawaziri walio kuwa India mbona hakuna aliye kanusha kwamba zile habari za vifo vyao zilikuwa za ukweli!
 
Ahaaaaahaaaa hv mkuu wa majeshi anakuwa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi, Je, mkuu wa majeshi anaenda mission za kijeshi, je anaenda kusoma? watuambie anaumwa tu labda anatibiwa sawa.

nilisikia kwa mbali sauti ikisema "sitaki kuamini kua matabasam kampa nchi mwanafunzi"..
 
Halafu kwanini atumwe ktk kipindi muhimu kama hiki? .....atakuja hivi karibuni... lini? Baada ya uchaguzi au akishastaafu?

Anapisha nini?

Akiwa hayupo nani in charge?

Wanajeshi kipindi kama hiki wabatakiwa kuwa standby, kwanini CDF atumwe nje?


Next in command!
NB: JW NI TAASISI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom