Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,714
- 4,227
Asante kwa majibu mazuri.
Maswali mengine ninayo yanaendelea kwenye ubongo ingawa yanaeza yasipate majibu.
Swali kama hao mageneral mtazamo wao juu ya demokrasia na uchaguzi huru ukoje?
Wanasimamia wapi? Na how strong are they?
Je mkuu muadilifu kutumwa nje haihusiani na kuwa hawa wanaweza kuruhusu au kuchangia bao la kiganja? Just asking
Ni sahihi kabisa kabisa,Jeshi haliongozwi na mambo ya kuzua zua hovyo,hajitokezi ataendelea na ratiba zake kama kawaida,afanyapo kazi zake haweki gari la matangazo kuzunguka mitaani kualika watu,kama hutaki hakuna atakayekulazimisha kwani hupunguzi chochote.
Hili lidudu la Chadema ni tanuri la kupika uongo. Haliaminiki tena. Wanatafuta pa kutokea lakini chaguo la Watz ni J P Magufuli
Yule mama akiwa anahojiwa kajibu kwa hasira na ghadhabu eti anaetaka kumuona mwamunyange huyo ni nani maana hawajibiki kwake anawajibika kwa rais.
Huyo mama sijuo ndio dada yake ana uwezo na uelewa mdogo sana, anashindwa kuelewa mwamunyange ni public citizen,anawajibika kwa watanzania maana ndio wanamlipa mshahara,anachukulia ukaka yake na sio ukuu wa jeshi.
Cdf ni public citizen, watanzania wana haki wa kujua yuko wapi na anafanya nini, watu hawaulizii mwamunyange kaka yake, ukaka ni nyumbani, hapa wanaulizia mwamunyange kama cdf.
CHADEMA ijiandae kwa mapigo mawili mfululizo!
1. Kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu hasa kwa nafasi ya urais.
2. Kuumbuka kwa kung'ang'ania uongo kuwa mkuu wa majeshi hayuko salama kiafya ilhali sio tu familia yake imekanusha hivyo, bali hata msemaji wa majeshi ya ulinzi na usalama nae amekanusha kuhusu uzushi huo.