King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,779
mammamia, nahisi kama hukumu yako ya pili haiko practical vile... kila maid unayempata anakuambia mi nataka kurudi kwety umtafutie escort, mbona itakuwa kibarua? sanasana tunawapakia kwa gari na kumkabidhi konda na kuwaarifu nduguze. its very complicated kuishi na hawa watu,plans zao huwa wanazijua wenyewe! mungu tu anasaidia aisee!
Makosa mawili mliyofanya hayawezi kurekebishika. Kwanza kukaa naye muda wote huo bila ya kujua kwao ni wapi, wazazi wake ni akina nani, kutomuuliza huyo mama aliyewaletea habari zote zinazomhusu.Kosa la pili ni pale aliposema anarudi nyumbani mkamwacha aondoke bila ya kujua anaelekea wapi. Laiti mmoja wenu angamsafirisha hadi kwao!Kilichobaki ni kukubali jukumu lenu. Ikiwa hamjui kwo wapi, mzikeni hapo hapo mlipo, lakini ni lazima mbebe jukumu hili. Poleni sana kwa msiba.RIP HG.