Famasia anahitajika haraka sana

Famasia anahitajika haraka sana

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
4,280
Reaction score
2,980
Wanajamvi,

Ninamhitaji mfamasia kwa haraka sana.

Vigezo;


Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia.

Mahali;
Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza.

Mawasiliano;
no. yangu ni 0757297942
 
Nina masters . Ngoja nitafute madogo wenye certificates
 
mfamasia wa kuajiriwa private au government? under wat bases mean mkataba ukoje? package?
 
Wanajamvi ninamuitaji mfamasia kwa haraka sana
Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia
Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. no. yangu ni 0757297942

Mfamasia iliyehitimu CERTIFICATE???:mod: Unatafuta Mfamasia (mwenye degree certificate) au Pharmacist (Pharmaceutical) Assistant (mwenye PA certificate)????
 
Back
Top Bottom