Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,541
- 1,550
Hahahahaha! Unaamua kujipachika hadi jinsia kujifariji.ikiwa tangu viumbe sisi aina ya binadamu tu umbwe kwenye dunia hii,mfumo wetu wa maisha ni kuwa wawili wawili wa jinsia tofauti,ukianza na Adam na Eva.sasa wewe binadamu gani ukataka uishi peke yako? Utakuwa na matatizo na haujakamilika.Mkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.
Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.
Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.
Any way, her life, its her choice!
Naunga mkono hoja! Hiyo ndo point ya msingi,sio mtu anakuja humu jukwaani anakuambia anajisikia amani kutoolewa.Atakuwa na matatizo na hajakamilika kama binadamu wengi.ikiwa mfumo huo ulianza tangu dunia inaanza.na watu wote waliishi wawili wawili.
Hahahahaha! Maji yamezidi unga hadi watu wanaamua kugeuza maandiko matakatifu,sasa huyo anaposema kuolewa au kuoa sio lazima,haoni kwamba anapingana na maandiko matakatifu? Afikirie kama watu tusingeoa au kuolewa,dunia ingekuaje?
Kafunge na bank mkuu au vikoba! Teh teh tehNdoa pesa
IRON LADY!!!!
Hahahahaha! Usikate tamaa mkuu ukaanza kukufuru mungu.
Na usizae basi! Ili upingane na lile andiko la mungu la nendeni mkaijaze dunia!Kuolewa au kutoolewa ni majaliwa ya Mungu.
Kuolewa si lazima.
Ni ngumu hiyo! Wanawake wengi kuliko wanaumeWakiolewa wote tutachepukaje sasa?
1-Hawana vipato au kazi ya kuweza kuhudumia huyo mke na familia kiujumla.hivyo hawezi harakisha kuoa.Na wanaume wasioa?
Na usizae basi! Ili upingane na lile andiko la mungu la nendeni mkaijaze dunia!
Hahahahaha! Hongera sana mkuu kwa kujifariji.siri unayo moyoni mwako.
Hahahahaha! Unaamua kujipachika hadi jinsia kujifariji.ikiwa tangu viumbe sisi aina ya binadamu tu umbwe kwenye dunia hii,mfumo wetu wa maisha ni kuwa wawili wawili wa jinsia tofauti,ukianza na Adam na Eva.sasa wewe binadamu gani ukataka uishi peke yako? Utakuwa na matatizo na haujakamilika.
Joseverest mbona kila post upo ??
Hakuna asiyependa hiyo lifestyle ya ndoa! Ikiwa hata hao mitume na manabii waliishi hivyo,wewe binadamu wa kawaida umekuwa nani hadi ukwepe hilo? Unaweza ukakwepa hilo tu ukiwa abnormalI'm a man. Ila, kwa mwanamke au mwanaume asiyetaka au kupenda hiyo lifestyle ya ndoa aachwe aishi anavyopenda yeye.
Kwa nini jamii iamue maisha ya mtu au wana jamii wenzao!?
Tuacheni unaaaa!!
Na ndoa ni sehemu ya maisha ya mwadamu aliye kamilika,labda awe hajakamilka.Utakuwa hujui tu kuwa maisha ni zaidi ya ndoa.
Kwa nini alikupa viungo vya uzazi? Kwa nini akawaumba mwanaume na mwanamke? Kwa nini akawajaza matamanio ndani ya miili yao? Ina maana Alikuwa hajui kuna hiyo biological deformations? Wewe jiridhiwaze tu humu mtandaoni.Kama Mungu yupo na anapenda watu wazae kwa nini wengine wazaliwe na biological deformations!?
Na ndoa ni sehemu ya maisha ya mwadamu aliye kamilika,labda awe hajakamilka.
ni uelewa mbaya tuu wa jamii.......tunahisi keshaliwa ....."je hajampata hata mmoja wa kuolewa nae"hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..