Hahahahahaha! Kama alishawahi olewa kabla then akaachika,ndo anazungumza falsafa hiyo.lakini hajawahi hata kuolewa anazungumza hivyo kufariji moyo,na kujipa matumaini.utamu wa ngoma uingie uicheze.Habari,
Wanawake wengi wakiwa hawajaolewa ( ama wana watoto au la) baada ya Miaka 30 huwa na falsafa zao.
Moja ya falsafa zao ni hii hapa. (Unaweza pia kuongezea)
Hahahaha! Jiwe limetupwa gizaniMaisha, siyo kuolewa/ ndoa tu kuna mambo mengi zaidi ya hiyo kuoa na kuolewa.
Acha kukariri vitabu na machapisho yaliyojaa porojo.
Any way, her life, its her choice.
Kuoa na kuolewa ni lazima kuzaa ndiyo majaliwa ya mwenyezi MunguKuolewa au kutoolewa ni majaliwa ya Mungu.
Kuolewa si lazima.
Sasa si ndo wanasemaga hivyo kila jambo ni makusudio ya Mungu.and everything happen for reason
Ngoja tuendelee kusubiri nijuavyo kila mtu anariziki yakeSasa si ndo wanasemaga hivyo kila jambo ni makusudio ya Mungu.and everything happen for reason
HahahahaMaisha, siyo kuolewa/ ndoa tu kuna mambo mengi zaidi ya hiyo kuoa na kuolewa.
Acha kukariri vitabu na machapisho yaliyojaa porojo.
Any way, her life, its her choice.
Hahahaha
Mkuu, umewahi kukutana na mwanadada au mwanamke ambaye ana umri zaidi ya miaka 30 na hana Mume?. Aisee ni balaaa.Mkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.
Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.
Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.
Any way, her life, its her choice!
Mkuu, umewahi kukutana na mwanadada au mwanamke ambaye ana umri zaidi ya miaka 30 na hana Mume?. Aisee ni balaaa.
Kwa mwanamme akichelewa kuoa hasimangwi kwa sababu yeye ndo kichwa cha familia,hawezi kuoa ikiwa hajajipanga hata kulisha familia na kutoa huduma nyingine muhimu za familia.Na pia anaweza akawa hana kazi ya maana itakayoweza kumpa mkate wa kila siku.je wewe mwanamke unasababu gani ya msingi hadi umri huo? Ikiwa maandiko yanasema mwanaume utakula kwa jasho na mwanamke utazaa kwa uchungu.hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
Hahahahaha! Hongera sana mkuu kwa kujifariji.siri unayo moyoni mwako.Ndiyo tena they are very creative, innovative and confident , hasa shuleni na kazini.
Tatizo ni pale akijiachia jamii iamue hatima yake.