Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,066
- 9,224
"UKIRITIMBA
Una ng'ombe wawili. Serikali inakunyang'anya wote. Inamuua mmoja, inamkamua aliyebaki, kisha inamwaga maziwa."
Ukiritimba ni noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Maisha ya kibongo yapo hiviyani kichawi chawi.
yani bora tufanane wote tuwe masikini hutaki mwenzio apate wala wewe upate, bora tukose wote.