Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,677 Sep 18, 2016 #2 Hata kwenye mpira ukitaka upige nduki, ni lazima ujianze
C Copy1 Member Joined Feb 10, 2016 Posts 96 Reaction score 143 Sep 18, 2016 #4 Hata Ndege ikitaka kuruka lazima kwanza kutembea kwenye runway kwenye uelekeo kinyume na ule inaouendea kisha inaturn na kutake off
Hata Ndege ikitaka kuruka lazima kwanza kutembea kwenye runway kwenye uelekeo kinyume na ule inaouendea kisha inaturn na kutake off