Falsafa ya kujivua gamba

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Ccm inaendelea kusimamia na kutekeleza falsafa yake ya kujisafisha kwa kuwatema na kuwatenga makada wake wenye dosari za ufisadi,matumizi mabaya ya madaraka na kashfa mbalimbali. Ccm kisimame imara kijisafishe na kisitetereke. Kisimamie misingi ya kuundwa kwake na kirudishe maadili na uzalendo wa wanachama wake kwa taifa letu.
 
Wewe najua umebandika na kukimbia, huwezi hata tetea ulichopost. Mambo mengine potezea tuu sio lazima nawe uonekane hapo chamani ulipost thread JF ya kumponda fulani. Kuwa na fikira huru kijana, acha hizo akili za kushikiwa na kushabikia jambo.

Amka sasa,muda ndo huu amua moja.
 
Ngoja tuone kama Chenge, Tibaijuka na wengine watavuliwa gamba kupitia nafasi watakazoomba!! Sijui kama unasema kujivua gamba maana yake ni kujiondoa wenyewe au kuondolewa lakini yangu macho na masikio!!!
 
Alianza rostam..sasa lowasa...bado chenge

Before you assume; learn the facts
Before you judge;😇 understand why
Before you hurt someone; feel😞
Before you speak; think
Stay consistent.😁
 
Lowasa ameibadili chadema au chadema imembadili lowasa?
 
Ccm inaendelea kusimamia na kutekeleza falsafa yake ya kujisafisha kwa kuwatema na kuwatenga makada wake wenye dosari za ufisadi,matumizi mabaya ya madaraka na kashfa mbalimbali. Ccm kisimame imara kijisafishe na kisitetereke. Kisimamie misingi ya kuundwa kwake na kirudishe maadili na uzalendo wa wanachama wake kwa taifa letu.

we chizi kweli ndorobo we hujui uandikacho
unamaanisha Lowasa kafukuzwa ccm au... na lembeni je hawa wamejitoa wenyewe hawajafukuzwa na Mzee moyo wa zenji utasemaje
 
Sijui umekula maharage ya wapi weweee. Jenga hoja. Lembeli sio lowasa
 
we chizi kweli ndorobo we hujui uandikacho
unamaanisha Lowasa kafukuzwa ccm au... na lembeni je hawa wamejitoa wenyewe hawajafukuzwa na Mzee moyo wa zenji utasemaje
mkuu tusipindishe ukweli. hao uliowataja wmeondoka ccm baada ya kukatwaaaaaaaaaaa.
nani hapo kaondoka akiwa na masilahi ccm? ukweli utatuweka huru siku zote.
 
Wewe najua umebandika na kukimbia, huwezi hata tetea ulichopost. Mambo mengine potezea tuu sio lazima nawe uonekane hapo chamani ulipost thread JF ya kumponda fulani. Kuwa na fikira huru kijana, acha hizo akili za kushikiwa na kushabikia jambo.

Amka sasa,muda ndo huu amua moja.
Kwani hujui kuwa huyo jamaa atakuwa anatetea per day yake ya buku 7 pale Lumumba ili asiikose?

Kwa kuwa wale mabosi wake wa pale mtaani kwao huwa wanafanya verification kujua idadi ya posts alizopost kwa siku hiyo kabla hajaidhinishwa kwenda kusaini per day yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom