Napenda kukushukuru kwa kunisaidia kuomba radhi, Nisaidieni ninapo onewa. "MUNGU AKUBARIKI KWA MOYO WA UPENDO"Namuombea samahani sana kwa kukuumiza, sikupenda iwe hivyo naye kakubali, ila ailitaka ufikirie kuhusu neno demo-cracy halafu umma na nguvu yake. Narudia anaomba samahani kwa kukuofend.
Napenda kukushukuru kwa kunisaidia kuomba radhi, Nisaidieni ninapo onewa. "MUNGU AKUBARIKI KWA MOYO WA UPENDO"
Mkuu
"Operesheni Sangara" ni Falsafa??
Naona umeanza kuchanganyikiwa!!
Tulia tu, si lazima uongee na kujishushia heshima!
Mkuu
"Operesheni Sangara" ni Falsafa??
Naona umeanza kuchanganyikiwa!!
Tulia tu, si lazima uongee na kujishushia heshima!
Naona unataka kujivunjia heshima yako humu Jamvini tofautisha sera na falsafa...Chadema sera zao ni za kibepari na ndio maana mfadhili wake mkuu wa nje ni chama cha Conservative cha Uingereza ambacho ni cha mapepari.
Hao viongozi CDM wamelimbikiza shs Ngapi kwenye hizo bank za Uswisi? Mimi nachoona uji wa pilipili uliokuwa unatumia umekufanya uwe mwehuNaona unataka kujivunjia heshima yako humu Jamvini tofautisha sera na falsafa...Chadema sera zao ni za kibepari na ndio maana mfadhili wake mkuu wa nje ni chama cha Conservative cha Uingereza ambacho ni cha mapepari.
Mkuu Ritz,
Hizo sio falsafa...Ni Kaulimbiu!
Kaulimbiu huwa haidumu, inasoma tu upepo wa kipindi hicho na huisha.
Labda tukufundishe; mfano ni mwenge ule wa ccm, kila mwaka mkiupitisha kuroga watu kunakuwa na kaulimbiu au ujumbe tofautitofauti...kuwa mwelewa jombaa!
Falsafa ni mawazo mapana sana ya msomi ambayo anaamini kuwa yanaweza kugeuzwa katika vitendo na kuonekana hadharani; mfano falsafa ya Ujamaa na Kujitegemea.
Hao viongozi CDM wamelimbikiza shs Ngapi kwenye hizo bank za Uswisi? Mimi nachoona uji wa pilipili uliokuwa unatumia umekufanya uwe mwehu