Fally Ipupa vs Ferre Gola.

Nani mkali?


  • Total voters
    29
fally yuko vizuri zaidi ingawa wote wakali lakini ferre alichelewa kuwa "Solo"
 
FERRE GOLA mzee wa "kamasutra" na "kilo 100" huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali

fally akasome sana
 
mimi pia hawa washkaj wana nichanganya balaa wote wakali lakin ferre gola anaradha fulan hv ambayo waimbaj wengi hawana kwenye mauno apo utakesha akiamu kukatika hatumii nguvu ila balaa lake hatari ipupa pia sio mbaya ila kuna viradha na vionjo fulan vya sauti gola kampiku ila kumiliki stage ipupa ni moto
 

Ferre ndiye sasa kaishika Congo kwa nyimbo zilizopangiliwa pia madancer warefu walio na mknd ya ukweli.
 
japo Mimi ni shabiki mfu wa ferre goal,ila habari ya mujini kwa sasa ni "ekotite" ya baba lao,mupao koffi olomide.hutaki unaacha

Nani anapenda nyimbo za kukurupuka kama hiyo!!?
 
Last edited by a moderator:
 

Napata kigugumizi wa hichi ulichoandika hapa. Na kwa vipi Ferre Gola alipikwa na JB Mpiana na Alain Makaba prince? Nijuavyo mimi, Ferre hakuwahi hata kuingiza vocal katika wimbo wowote wa Wenge Musica BCBG (Wenge Original) zaidi ya kupewa nafasi katika baadhi ya concert za wenge tena akiimba nafasi ya mtu aliyekosekana siku hiyo Mfano ni show za Wenge za Abdjan miaka yq 1996-97. Na kazi zake zilianza kujulikana baada ya Maison Mere kuanzishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…