Wakuu Umofia Kwenu.
..
Fally Ipupa N'simba tayari ameshawasili jijini Dar es Salaam.
..
Alitua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana, Alhamisi Nov 26, 2026.
..
Alipokelewa uwanja wa ndege na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, pamoja na waandishi wa habari na mashabiki.
..
Fally Ipupa Amefika nchini kwa ajili ya onesho lake kubwa la muziki yaani Fally Ipupa Live in Dar litakalofanyika kesho, Jumamosi Nov. 28, 2026, katika viwanja vya Lugalo Golf Course, Kawe.
..
Wakuu Tikiti Bado zinapatikana mtandaoni kupitia tovuti ya Top Story Productions
..
Waandaaji Top Story Productions na Jizo Tech Sound wameandaa jukwaa la kimataifa linalofanana na yale yaliyotumika kwenye matamasha yake makubwa kama Stade de France.
..
Milango inatarajiwa kufunguliwa kuanzia majira ya jioni na show kuendelea hadi usiku mnene.
..
Fally Ipupa atatumbuiza akiwa na bendi yake kamili iliyowasili naye jijini Dar es Salaam.
..
Mwanamuziki René Soso Pembe ameambatana na fally Ipupa katika safari hii.