fake virgin?plz help

ashraf

Member
Mar 15, 2011
30
7
nlikua na mwanamke ambae cna muda mref sana tangu nijuane nae...ni km mwezi sasa
mwanzoni alkw hataki kbsa suala la sex but ktk maelezo yake alikw akidai ni bkra.....bt mwishoni akalegeza kamba na kukubali na akawa amenambia jumatatu ya tarehe 11 ndo tukutane...ratiba zilinibana tukakutana j.nne. na shughuli nzima ikanza,yafuatayo ndo nloyaobserve baada ya tendo
-damu ilitoka mwshni wkt ndo namaliziamalizia
-japoalilalmka kdogo kuumia wkt wa tendo but mwshoni alkw normal kbsa na alkw aktmbea km kawaida
-na wakati tukielekea bafuni kuna km kijibonge cha damu klianguka na ofcoz hakkua red moja kwa moja
-kwa maelezo yake damu ilkata saa nne usiku wakat," game tulimaliza mchana sa saba
&+nmeshndwa kulihukum mwnywe kwa sababu...msaada wenu plz..........je kuna ukweli hapo? naje nichukue uamuzi gani?
 
Kwani wewe ulikua unahitaji iyo "Virgin" uipeleke wapi??
 
Tomato hizo >>>>>ebo changanya miguu kimbia katafute bikra genuine kule ...................zipo za kumwaga
 
Mmmh..... Mnapenda Bikra wakati nyie sio Bikra...

Mtawekewa ma ndimu na mauzauza mengine mpaka mkome..!
 
ofcoz ishu so kwamba nmefuata bikra.....anaeweza kukudanganya kwenye ukweli......mara nyng hawezi kua kweli kwnye mambo yanayoitaji muda mref kupruv......eg love.....lazma uongo kwake ndo kazi.
 
huyo mwanamke kakudanganya mkuuu nyie nyote sio bikra na wewe kwani ulitaka bikra au unahofia kudanganywa.kama mtu mzinifu, ata akipata mwenye bikra haina ladha cuz huhitaji bikra zipo nyingi uko nje time yoyote unazikata tooo.ila kaaa ukijua iko siku na wewe utapata kizazi chako, kweli hutaaumia mtu akimkata mwanao bila ya uchungu wala kuwa na malengo nae?? utaaishia kuekewa dawa za kichina mpaka uwe na heshma yako
 
ha ha ha ha....., pole sana. changa la macho hilo. inawezekana alikuwa breed siku hiyo ndo maana wakati wa kumalizia ukaona damu. au amekaa siku nyingi hajafanya ngono ndo maana damu zikatoka kidogo. believe me huwez kutoa bikra halaf ukaendelea na mchezo, huwa wanaumia sana lazima usitishe na kuendelea siku nyingine.

my take: sio kwamba huwa tunafuata bikra zenu, ila unaposema una bikra nataka niikute vinginevyo nitakuona mzushi tu. ukiniambia huna mapema mie nitakupenda bila shida yoyote maana sifati bikra mie.
 
Mkuu kitu feki hicho...haya madawa mbona yapo na yanapatikana tu madukani mkuu....

537826_480758778651499_1947265093_n.jpg
 
Ulitumia kondom?
Je ulimfundisha jinsi ya kulala au ye mwenyewe alijilaza chali? na alijuaje wanalalaga chali?
 
yap nlitumia.......hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa defn ya vrgn ofcoz I am...that's y cjamind kudanganywa...yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx
 
yap nlitumia.......hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa defn ya vrgn ofcoz I am...that's y cjamind kudanganywa...yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx all
 
yap nlitumia.......hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa defn ya vrgn ofcoz I am...that's y cjamind kudanganywa...yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx all

mmmmh umemalizia vibayaaaa kwanini?
 
Back
Top Bottom