fake virgin?plz help

fake virgin?plz help

Kama unapoanza mahusiano na mwanamke kwa mara kwanza unakuwa na tabia ya kumuuliza "mimi ni mpenzi wako wa ngapi?" basi lazima ukumbane na maswahiba kama hayo! Yaani kuna wanaume wa ajabu sana...unamuuliza mwanamke mimi ni wako wa ngapi unatarajia atakuambia wewe ni wa kumi hata kama alivuka idadi hiyo tangu kidato cha pili?! Atakuambia wewe ni pili, amekuheshimu sana atakuambia wewe wa tatu na ukikutana na ngurubembe kabisa lazima akuambie wewe ni wa kwanza na kukupa bikira ya ndimu!
 
ndimu inafanya damu itoke?makubwa!:shut-mouth:

Nahisi hakikua kitu cha ndimu wala nini.....mtoto kasubiri siku anamaliza MP akambania mapaja na nyonga, kwisha kazi....kitu tightttttt!!
 
yap nlitumia.......hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa defn ya vrgn ofcoz I am...that's y cjamind kudanganywa...yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx

andika vizuri wewe!
 
yap nlitumia....... hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa d efn ya vrgn of coz I am...that's y cjamind kudanganywa... yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx all
Nimeambulia chenga tu hapa, nahisi nahitaji mkalimani hapa!
 
nlikua na mwanamke ambae cna muda mref sana tangu nijuane nae...ni km mwezi sasa
mwanzoni alkw hataki kbsa suala la sex but ktk maelezo yake alikw akidai ni bkra.....bt mwishoni akalegeza kamba na kukubali na akawa amenambia jumatatu ya tarehe 11 ndo tukutane...ratiba zilinibana tukakutana j.nne. na shughuli nzima ikanza,yafuatayo ndo nloyaobserve baada ya tendo
-damu ilitoka mwshni wkt ndo namaliziamalizia
-japoalilalmka kdogo kuumia wkt wa tendo but mwshoni alkw normal kbsa na alkw aktmbea km kawaida
-na wakati tukielekea bafuni kuna km kijibonge cha damu klianguka na ofcoz hakkua red moja kwa moja
-kwa maelezo yake damu ilkata saa nne usiku wakat," game tulimaliza mchana sa saba
&+nmeshndwa kulihukum mwnywe kwa sababu...msaada wenu plz..........je kuna ukweli hapo? naje nichukue uamuzi gani?
Kwa maelezo yako hapo juu, hapo bikra haikuwepo, aliamua kukudanganya ili pengine uingie na uchukue jumla.
Na mngekutana jumatatu kama alivyopanga yeye, ndio angekupata vizuri zaidi damu ingetoka mwanzoni hivyo usingekuwa na shaka. Alikutayarishia Jumatatu ukaenda J4 hapo timming ya dawa ilipotea kidogo.
Bikra za hivyo Wasomali wanatengeneza sana tu. Pia Tanga baadhi ya maeneo wanazitengeneza pia.
 
Back
Top Bottom