aiseee wew kuna kitu kimekukaba hebu kitapike
How do you choose friends says a lot on how you choose a spouse. Unachaguaje marafiki wewe? Mimi nina marafiki wengi sana; wazuri kweli na ninawapenda wote. Ila kuna mtu ukiongea nae masaa mawili tu unamsoma na kutambua sio rafiki
Ya madam d wameniachia doa kweli ila mimi ni mpiganaji ninasonga tu. Mungu mkubwa
Rafiki yangu ni mama yangu, akianza kunisuta sawa, mara aninunie, mara anichekeee....Ye ndo msiri wangu....
raha tupu....najua huu ni urafiki wa milele hapa duniani hadi kesho peponi....
Sihitaji marafiki.....
Bora umeliona hilo....marafiki ni shida tu waone kama vitu visivo na umuhimu wawepo wasiwepo hawana madhara yoyote na wewe!!!!
bora urafiki wa keyboard tu, lakini mkishaanza kufatana sijui unatoka na mashosti ni sheedah haswaaa.
Ya madam d wameniachia doa kweli ila mimi ni mpiganaji ninasonga tu. Mungu mkubwa