Fake Duracell

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,016
4,855
Juzi nilikuwa Morogoro mjini na nilipita maduka kadhaa ya jumla nikitafuta battery aina ya Duracell size AA.
Maduka mengi hazikuwepo ila kuna Bwana mmoja anauza TV na satelite dishes ambaye alinitolea box zima na kuniambia kuwa hawezi kuniuzia kwani anaamini si Duracell halisi na moja ililipuka dukani kwake.
Tilipofungua box zilikuwa zimemwaga unga mwingi.
Kama representative au dealer wa Duracell atusaidie katika hili.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom