Bonyeza *#06# then kuna digits 15 zinazoanzia na namba 35 angalia kati namba ya saba na nane zinatakiwa ziwe 00
Namba ya saba na nane siyo lazima iwe 00, inaweza kuwa 01 au 02 so that is not the way to recognize genuine blackberry.
Blackberry in features za ziada kama blackberry messenger, fake ones hazina. Vilevile mifuko ya blackberry inaweza kutumika kulock simu unapoiweka kwenye mfuko. Blackberry fake mifuko yake haiwezi kuilock.
battery ya blackberry original inakuwa imeandikwa Blackberry wakati fake one hazina.
Ndio maana nikasema namba ya saba na nane iwe 00 ikiwa 01 au 02 or any other number that's not original! 01 na 02 means imetengenezwa other places under licence. Za kichina namba ziko tofauti.
mkuu hapana kuwa hii test inatumika kwa nokia tu.Mimi nina blackberry yangu yenye nembo kabisa ya vodafone nimebonyeza hizo namba kama alivoelekeza mchangiaji wa kwanza na nikweli zimetoa hiyo indication.
Pia kwa nokia original lazima ianzie na 35 na kwa blackberry lazima ianza na IMEI:010194.00.575622.5 hii ni kwa ya kwangu.
Angalia kama ina PIN. Kila Blackberry ina unique 6 digits PIN ambayo ndio inatumika katika kuunganishwa na carrier katika Blackberry Internet Service. Fake ones hazina hii kitu.
PS: BlackPerry za China zina lines mbili mbili...dnt go for that crap!
Alaf hii ina betri ya ziada.
PIN ni 6 digits? I see 8 digits.
Au kati ya hizo 8, 6 ndiyo unique?
Chaku hebu tizama yako kama ina PIN number, maana naona IMEI kwenye BB yako inaanza na namba tofauti na 35.
PIN utaiona kwenye OPTIONS -- Status
Jamani hapa naona kuna tatizo moja la uelewa. Tunazungumzia fake products au tunazungumzia bidhaa iliyotegenezwa china. Does it mean kila kinachotoka china ni fake? Fake inaweza kutengenezwa popote. China kuna bidhaa genuine na pia fake zipo. Tatizo ni wafanyabiashara wetu na serikali yetu. Mbona nchi za wnzetu bidhaa bora za china zipo inakuwaje hapa tunaletewa feki. Hamtakiwi kuwalaumu wachina. Tunaojimaliza ni sisi wenyewe. Kama mfanyabiashara ana nia nzuri hawezi kwenda kununua hizo bidhaa feki. China zipo feki na original na zinajuilikana zinapopatikana. Wafanyabiashara wetu huwa wanaopt kununua zile ambazo wanaona ni bei poa na wakati wananunua huwa wanjua kabisaUtajuaje sio za China?
Hilo ndio tatizo watu wanajaribu kutatua hapa.
Jamani hapa naona kuna tatizo moja la uelewa. Tunazungumzia fake products au tunazungumzia bidhaa iliyotegenezwa china. Does it mean kila kinachotoka china ni fake? Fake inaweza kutengenezwa popote. China kuna bidhaa genuine na pia fake zipo. Tatizo ni wafanyabiashara wetu na serikali yetu. Mbona nchi za wnzetu bidhaa bora za china zipo inakuwaje hapa tunaletewa feki. Hamtakiwi kuwalaumu wachina. Tunaojimaliza ni sisi wenyewe. Kama mfanyabiashara ana nia nzuri hawezi kwenda kununua hizo bidhaa feki. China zipo feki na original na zinajuilikana zinapopatikana. Wafanyabiashara wetu huwa wanaopt kununua zile ambazo wanaona ni bei poa na wakati wananunua huwa wanjua kabisa
Ni standard ya chini. Na zikifika nchini zinaingia tu bila wasiwasi. Pia naomba tuondoe mentality kwamba bidhaa origiginal ni ile ya mzungu tu. Je benz inayotengenezwa sa under licence ni feki. Kwa hiyo nokia wakiwa na kiwanda china bidhaa z*o ni feki?
Wadau naomba mnitajie sifa kadhaa za kugundua BLACKBERRY fake...
Kuna msela kaja na kadhaa kutoka UK na anaziuza rejareja! Anataka kuniuzia ila nahtaji kujua nitagunduaje ni orijino?
Nisaidieni...
Mzee labda ukiiconnecthiyo simu kwenye mtandao visit hii site m.getjar.com ni site inatoa software mbali mbali kwa ajili ya simu tofauti na huwa ina detect aina ya simu uliyonayo. Na itakuonyesha kama ni blackberry au ni kitu kingine famba. Jaribu ku download software kama nimbuz. Na cheki kama inafanya kazi. Pia kuna software kama blackberry messenger na blackberry browser lazima ziwemo kwenye hiyo simu.Ha ha ha, aksante kwa Info. ustaadh.
Try using this website
http://www.numberingplans.com/?page=analysis⊂=imeinr
you can know the Validity or authenticity of your phone in less than 30 seconds.
all you need to do is input the IMEI in "that" Box and click Analyze.
cheers!
Hiyo website ingekuwa China nisingeingiza IMEI ya simu yangu. Inaonekana wako Sweden.
(I love Firefox browser)